Maswali na Majibu Kuhusu HELABET

  1. Fungua App yako
  2. Bonyeza hicho kiduara cha katikati hapo chini kimeandikwa Bet Slip
  3. Then Click "Load Bet Slip"
  4. Then paste Code hafu click Upload

  1. Gusa kitufe cha duara kimeandikwa "Betslip" hapo chini katikati
  2. Hafu utaona neno limeandikwa "Go to betslip", bonyeza hapo
  3. Kisha bonyeza vidoti vitatu vipo pembeni kulia mwa neno " My betslip" 
  4. Hafu utaona neno "Load Betslip" bonyeza hapo, weka code ya mkeka wako hafu malizia kwa kubonyeza "load"

  1. Fungua App hafu Click "MENU"
  2. Kwa juu kulia utaona neno "Deposit"
  3. Click hapo halafu chagua mtandao uliojisajilia(Kama ni Voda chagua Vodacom, Kama ni Tigo chagua Tigo, kama ni Airtel chagua Airtel etc)
  4. Ingiza kiasi unachotaka kuweka halafu kuna ujumbe utatokea ukikutaka kuingiza namba ya siri, malizia kwa kuingiza namba ya siri ili kukamilisha kuweka pesa

  1. Fungua App
  2. Click "MENU"
  3. Juu kulia utaona icon ya settings
  4. Bonyeza hapo
  5. Then chagua "withdraw"
  6. Kisha chagua mtandao uliojisajilia kuweza kutoa pesa
  7. Ingiza kiasi unachotoa halafu malizia kutoa pesa

  1. Kwenye App click "Menu" then "Customer Support" hafu click "Chat" hafu elezea hyo changamoto then wakikupa robot click Call Operator pale juu ili uhudumiwe na binadamu
  2. Unaweza kuandika hata kwa kiswahili mana wana wahudumu wa kiswahili pia

HELABET KAMA UNAPATA CHANGAMOTO YEYOTE.

  1.  Kujisajili.
  2. Kuweka code.
  3. OTP MESEJI HAIRUDI.
  4. Kufanya Deposit.
  5. Kuwithdraw.

Changamoto zote hizo zinajibiwa na NAMBA HII YA HUDUMA KWA WATEJA HAPA HAPA WHATSAPP NAMBA 0655 759 335